Search results for "KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)"

Mahitaji ya Maji ya Kustawisha Miembe na Umuhimu wa Umwagiliaji

Maji ni pembejeo namba moja kwa kilimobiashara. Bila maji hakuna uhai duniani.  Bila maji hakuna kustawisha mazao ya

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2022
MAPINDUZI YA KILIMO kwa Kutumia ZANA BORA ZA KILIMO

Matumizi ya Zana Bora za Kilimo ni sharti mojawapo
la kuleta Mapinduzi ya Kilimo nchini. Kuendelea kutumia
zana duni au zenye uwezo mdogo kutaendelea kudumaza
maendeleo ya kili

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KILIMO CHA KISASA

Kitabu hiki kina maswali 243 na majibu yake ambayo yanahusu somo
la kilimo cha kisasa. Kimeandikwa kwa kuzingatia muhtasari wa kilimo
kwa shule za msingi. Kwa sababu hii kitawafaa san

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1987
MAZAO YA VIUNGO

Kiungo ni kitu kinachotia chakula rangi, ladha na harufu nzuri.
Sehemu za mazao ya viungo ambazo hutumika kama viungo
ni matunda, vichomozo, mizizi, maua, mbegu na magome
(maga

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
MBOLEA ZA VIWANDANI

Mazao yaliyomo shambani ni mimea. Ndiyo maana yanaitwa
mimea ya mazao. Ni viumbe hai. Ukuaji wake huanzia kwenye
uotaji wa mbegu. Baada ya uotaji mimea ya mazao hupitia hatua
m

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1992
MIGOMBA UANZISHAJI NA UTUNZAJI WA SHAMBA

Mwandishi wa kitabu hiki, akiwa mtaalamu wa kilimo, anaeleza jinsi ya kuanzisha na kutunza shamba la migomba. Kilimo cha kisasa cha migomba siyo rahisi kama inavyofikiriwa, kwani ukilima ovyo shamb

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1991
MISINGI YA KILIMO BORA

Mojawapo ya matatizo ambayo yanakabili juhudi zetu za kuendeleza
uchumi na maisha yetu ni ukosefu wa vitabu vya kutosha vilivyoandikwa
katika lugha ya Kiswahili juu ya shughuli zetu m

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1976
MISITU NA HIFADHI YA MAZINGIRA

Neno ‘mazingira’ lina maana ya vitu vyote vilivyo hai na visivyo
hai vinavyomzunguka binadamu. Mazingira ni pamoja na
maliasili zinazopatikana kwenye maeneo tunayoishi. Se

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2003
MWONGOZO WA HIFADHI BORA YA NAFAKA NA JAMII YA MAHARAGE

Lengo la mkulima kustawisha mimea ya mazao ni hatimaye apate
mavuno mengi na yaliyo bora. Wingi wa mavuno unamaanisha uzito.
Uzito hupimwa kwa kilogramu. Kwa upande mwingine, ubora wa

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021
Mwongozo wa Kilimo Bora cha Alizeti

Alizeti ni zao linaloweza kuwakomboa wakulima kiuchumi. Pia,
huchangia pato la taifa na kuliingizia taifa fedha za kigeni kwa kuuza
bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa kutokana na mbeg

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2007

Showing 31 – 40 of 55 results