MAZAO YA VIUNGO
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2010
Kiungo ni kitu kinachotia chakula rangi, ladha na harufu nzuri.
Sehemu za mazao ya viungo ambazo hutumika kama viungo
ni matunda, vichomozo, mizizi, maua, mbegu na magome
(magamba ya mti). Baadhi ya mazao ya viungo maarufu
duniani ni haya yafuatayo:
Pay with DPO