Search results for "UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)"

HAKI NA KERO MAHAKAMANI

Madhumuni ya kitabu hiki ni kuwafahamisha wananchi
Wajibu wa Hakimu wakati anapotekeleza kazi za kimahakama.
Wananchi wafahamu maadili ya kazi ya hakimu. Hakimu
ambaye amekabid

 • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2015
KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI

Unaweza kujiuliza kwa nini sikukipatia kitabu hiki jina la
“Kufungua Shauri Linalohusu Migogoro ya Ardhi na Utetezi
wake Mahakamani” na badala yake nikakiita “Kufung

 • AuthorAl- Muswadiku K. Chamani
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2017
KUTATHMINI MALI NA MAKOSA YA UHARIBIFU WAKE

Kitabu hiki kinatumia Sheria za nchi hii na Hukumu za kesi
zilizokwishaamriwa kuwaelimisha wasomaji, hasa, wananchi wa
kawaida na viongozi wao, kuhusu elimu ya Kutathmini Mali ambazo

 • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2018
MABARAZA NA MAHAKAMA ZA ARDHI TANZANIA

Uandishi wa sheria, hususani, vitabu vya kisheria kwa lugha ya
Kiswahili, Tanzania limekuwa ni tatizo la muda mrefu kutokana na
sababu mbalimbali zikiwemo za kihistoria, kisiasa na ha

 • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2018
UTOAJI HAKI MAHAKAMANI

Pamekuwapo na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi,
hata katika vyombo vya habari, kuwa, mahakama imetoka
katika nafasi yake ya kutoa haki na badala yake inachangia
haki ku

 • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2016
UWAKILISHI MAHAKAMANI TANZANIA

“Haki ya Uwakilishi ni haki ya kisheria kwa mdaawa yeyote katika
mahakama. Inahusiana na haki nyingine mbili ambazo ni Haki ya
kusikilizwa na Haki ya uhuru binafsi. Ili usikiliz

 • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2013
WASHAURI WA MAHAKAMA NA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA TANZANIA

Utoaji haki katika Mahakama na Baraza la Ardhi na
Nyumba la Wilaya huwa unazitaka baadhi ya taasisi hizo
kushirikisha wananchi katika kazi hiyo kwa kupitia Washauri
wa Mahakama

 • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2016

Showing 1 – 7 of 7 results