MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KILIMO CHA KISASA

MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KILIMO CHA KISASA

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1987

Kitabu hiki kina maswali 243 na majibu yake ambayo yanahusu somo
la kilimo cha kisasa. Kimeandikwa kwa kuzingatia muhtasari wa kilimo
kwa shule za msingi. Kwa sababu hii kitawafaa sana wanafunzi wa darasa
la tano hadi la saba kwa marejeo ya haraka, hasa kwa ajili ya mazoezi
na maandalizi ya mitihani yao. Kitawafaa pia walimu wanaofundisha
kilimo katika shule za msingi, vyuo na taasisi zinazofundisha kilimo.
Lakini, kwa vile kilimo ni sayansi, kitabu hiki kitakuwa cha msaada pia
kwa wakulima na watu wengine. Maswali hayo na majibu yake
yamegawanyika kama ifuatavyo:

Pay with DPO

dpo
Book Title MASWALI NA MAJIBU KUHUSU KILIMO CHA KISASA
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978-9987-671-55-7
Edition Language Kiswahili
Date Published 1987-10-14
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 92
Chapters 11

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs4,500.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs4,500.00
View