MAPINDUZI YA KILIMO kwa Kutumia ZANA BORA ZA KILIMO

MAPINDUZI YA KILIMO kwa Kutumia ZANA BORA ZA KILIMO

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010

Matumizi ya Zana Bora za Kilimo ni sharti mojawapo
la kuleta Mapinduzi ya Kilimo nchini. Kuendelea kutumia
zana duni au zenye uwezo mdogo kutaendelea kudumaza
maendeleo ya kilimo nchini. Zana hizo duni ni hasa jembe la
mkono. Zana hii imetumiwa tangu zana za kale, zaidi ya miaka
10,000 iliyopita. Uwezo wa zana hii ni wa kuhudumia heka
moja kwa mwaka kwa familia moja.
Zana inayofuatia jembe la mkono ni plau inayotumiwa na
wanyamakazi. Jozi ya wanyamakazi inaweza kufanyakazi kwa
saa tano mfululizo kwa kipindi cha asubuhi. Baada ya hapo
lazima wapumzike. Zana inayofuata ni trekta. Matrekta
yanatengwa katika makundi kadhaa kwa kutegemea ukubwa na
uwezo wake. Yapo matrekta madogo. Yapo matrekta ya ukubwa
wa kati na yapo matrekta makubwa.

Pay with DPO

dpo
Book Title MAPINDUZI YA KILIMO kwa Kutumia ZANA BORA ZA KILIMO
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978 9987 07 042 8
Edition Language Kiswahili
Date Published 2010-02-20
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 77
Chapters 8

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs5,000.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs5,000.00
View