Search results for "KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)"

KANUNI ZA UKULIMA WA KISASA

“Ongezeko la mazao na uhodari wetu katika kilimo unategemea juhudi ya wananchi.

Na ili tuzidi kupiga hatua za maendeleo ni lazima waelewe kanuni za ukulima wa kisasa na waanze kuzit

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1981
KILIMO BORA CHA MAHARAGE

Maharage si zao geni kwa mtu mzima. Maana kila mmoja wetu hula
maharage. Katika sehemu kadhaa za nchi yetu, maharage yanaweza
kulimwa na kuvunwa mara mbili na hata mara tatu kwa mwaka

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2003
KILIMO BORA CHA MAHINDI

Mahindi ni moja ya nafaka muhimu sana duniani na hata katika nchi yetu.
Ni zao ambalo limefanyiwa utafiti kwa undani zaidi katika nchi mbalimbali
duniani, na hasa zile zilizoendelea,

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1984
KILIMO BORA CHA MUHOGO

Muhogo ni moja ya mazao ya mizizi ambayo ni muhimu sana
kwa chakula nchini. Umuhimu wake unatokana na uwezo wake
wa kustawi na kutoa mavuno ya kuridhisha katika mazingira
ya uk

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2004
KILIMO CHA PAMBA TANZANIA

1. Historia ya pamba nchini
Pamba iliingizwa Tanganyika na Wamisionari na Wafanyabiashara wa
Kijerumani wakati wa utawala wa Wajerumani wa nchi hii katika karne ya

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Mwaka 1974 kulitokea upungufu wa mazao muhimu ya chakula
nchini. Upungufu huu ulitokea kwa sababu ya ukosefu wa mvua
katika mikoa kadhaa katika msimu wa kilimo wa 1972/73 na
ha

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2008
KILIMOBIASHARA na KANUNI ZA KUKIFANIKISHA

Kilimo cha Mazoea au Kilimo cha Kujikimu ni kile
ambacho ni cha hali duni sana, kwa ajili ya kupata chakula.
Ni kilimo cha kutumia majembe ya mkono, bila utaalamu,
mtaji kidogo

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021
KUTENGENEZA NA KUTUMIA MBOJI KATIKA KILIMO
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1993
MAGONJWA NA WADUDU WA MIPAPAI NA MAPAPAI NA UDHIBITI WAKE

Magonjwa na wadudu ni visumbufu vikuu vya kilimobiashara cha mipapai na mapapai nchini. visumbufu hivi ni changamoto kubwa kwa

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2023
MAGONJWA YA MIEMBE NA MAEMBE NA UDHIBITI WAKE

Magonjwa ni moja ya visumbufu vikuu vya miembe na maembe. 
Sehemu mbalimbali za miembe na matunda hushambuliwa na&

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2023

Showing 21 – 30 of 55 results