Search results for "UFUGAJI WA WANYAMA (ANIMAL HUSBANDRY)"

Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe

Ufugaji wa Nguruwe ni shughuli inayoweza kumwondoa mfugaji kwenye umaskini, kuipa familia yake kitoweo chenye viinilishe muhimu na kutunza mazingira. Nguruwe huzaa mara mbili kwa mwaka na kwa kila

 • AuthorPius B. Ngeze
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2009
Kanuni 13 za Kuzalisha Ngozi Bora

Tanzania inachukua nafasi ya tatu barani Afrika kwa kuwa na mifugo mingi. Nchi ya kwanza ni Sudani ikifuatiwa na Ethiopia. Kwa sasa nchi hii ina ng’ombe zaidi ya milioni 20, mbuzi zaidi ya milion

 • AuthorPius B. Ngeze
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2015
Kanuni za Ufugaji Bora

Kitabu hiki, kinaeleza Kanuni 25 za Ufugaji Bora. Kama tunataka kuachana na umaskini, wakati wa kuendesha ufugaji kiholela umekwisha. Kinachotakiwa sasa ni kuendesha ufugaji kisasa na kibiashara. K

 • AuthorPius B. Ngeze
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2009
KUTOKA UCHUNGAJI KWENDA UFUGAJI TANZANIA

Kutoka UCHUNGAJI kwenda UFUGAJI Tanzania ni jina la kitabu hiki ambalo limechaguliwa kwa makini ili kuonyesha dira au lengo la ufugaji katika nchi yetu. Wananchi wetu wanaomiliki mifugo, hasa ng’

 • AuthorPius B. Ngeze
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2007
Magonjwa ya Mifugo

Magonjwa ndicho chanzo kikuu cha vifo vya mifugo na umaskini wa wafugaji. Maelfu ya mifugo hufa kila mwaka kutokana na magonjwa. Bila kuugua, mifugo haiwezi kufa kwa kiasi hicho. Lakini, magonjwa y

 • AuthorPius B. Ngeze
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2010
Malisho ya Mifugo

Mifugo bila kupewa au kujipatia chakula haiwezi kuishi. Chakula ni muhimu kwa mifugo kama ilivyo kwa binadamu. Chakula kikuu cha mifugo ni malisho. Malisho ni mimea ya aina mbalimbali, kama vile, n

 • AuthorPius B. Ngeze
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2010
Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Mbuzi

Asilimia 99.6 ya mbuzi wanaofugwa nchini ni wa asili wanaojulikana kama Mbuzi Wadogo wa Afrika Mashariki. Asilimia 0.4 iliyosalia ni mbuzi wa kigeni na mbuzi chotara. Kwa hiyo, kwa sasa, unapozungu

 • AuthorPius B. Ngeze,
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2004
UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA

Kitabu hiki ni mwongozo kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa, hasa wafugaji wadogowadogo wanaoanza kufuga ng’ombe hao. Wakulima wanafahamishwa juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Idar

 • AuthorKADADET TANZANIA
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2004
UFUGAJI BORA WA SUNGURA

Sungura ni moja ya wanyama wadogo ambao ni rahisi kuwafuga. Nyama yao inafanana na ya kuku na ni tamu. Ina protini nyingi na viinilishe muhimu. Ni dawa kwa watu wagonjwa, wazee na watoto dhaifu. Vi

 • AuthorPius B. Ngeze
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2009

Showing 1 – 9 of 9 results