Search results for "RIWAYA"

Dhuluma ya Haki
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00

Riwaya ya Dhuluma ya Haki imebuniwa kwa kufuata matukio yanayodhihirisha ulevi wa madaraka.  Katika matayarisho ya Utawala Bora barani Afrika, tunawajibika kuwafundisha vijana wetu wakatae kud

 • AuthorAhmad Mujaki
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2019
Penzi liliponzwa
Tzs5,000.00 Tzs15,000.00

Mazingira ya kitabu hiki ni Kigali, nchini Rwanda. Riwaya hii ya kusisimua inawahusu wapenzi wawili, Jose na Menie, ambao walikutana walipokuwa wakifanya kazi Rediowanda, Kigali miaka ya

 • AuthorAbdalah Msakanjia
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2022
Rita Koku
Tzs5,000.00 Tzs10,000.00

Rita Koku ni msichana mzuri mwenye umbo la kupendeza na pia alikuwa na tabia nzuri. Alikuwa ni kifungua mimba katika

 • AuthorMaria Ruhumuliza Paulo
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2023
Saa ya Ukombozi
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00

Saa ya Ukombozi ni riwaya inayoudurusu na kuzulu uhuru na dhima nzima ya kuwa huru. Inaona shaka na uhuru wa baadhi ya nchi barani Afrika unaowanufaisha watawala waliojigeuza miungu pwamwe na walam

 • AuthorNkwazi Nkuzi Mhango
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2023
Tusiwahukumu Changudoa
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00

Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Changudoa ni “mwanamke anayezunguka

 • AuthorJames B. Kalugira
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2016

Showing 1 – 5 of 5 results