Search results for "BIOGRAPHY AND AUTOBIOGRAPHY"

MAISHA NA HARAKATI ZA KAZIMOTO

Ni kazi kubwa kuandika Dibaji ya kitabu cha mtu mwenye
historia iliyotukuka kama ya ndugu yangu Nekemia Musa
Kazimoto. Aliponiomba niiandike, kwanza nilimkatalia,
baadaye nikak

 • AuthorNekemia Musa Kazimoto TANZANIA
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2011
Maisha na Ujasiri wa Mjane

Bibi Theophilda Tinkasimire Tikawa, mwandishi wa kitabu
hiki kinachosimulia maisha yake tangu kuzaliwa, kukua,
kusoma shule, kuolewa, kuajiriwa, kufiwa na mume na hatimaye
kufi

 • AuthorTheophilda Tinkasimire Tikawa
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2015
Maisha Yangu: Alhaji Abubakari R. Galiatano

Kitabu hiki kinaonyesha safari yake ndefu ya maisha yake.
Chimbuko na asili ya ukoo wa Galiatano, maisha yake,
mahangaiko na mafanikio yake. Kitabu hiki kinadhihirisha jinsi
mt

 • AuthorAbubakar Rajabu Galiatano
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2008
Pius Bakengera Ngeze Maisha yake na Baada ya Miaka 70

Kitabu hiki kimeundwa na sura kumi na moja (11). Sura ya
kwanza inahusu kumbukizi ya miaka 70 ya kuzaliwa kwake na
ina maelezo ya mke wake, mama Rachel Wizeye Mbonimana,
juu ya

 • AuthorPadri Privatus Karugendo
 • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
 • Year2013

Showing 1 – 4 of 4 results