MBOLEA ZA VIWANDANI

MBOLEA ZA VIWANDANI

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1992

Mazao yaliyomo shambani ni mimea. Ndiyo maana yanaitwa
mimea ya mazao. Ni viumbe hai. Ukuaji wake huanzia kwenye
uotaji wa mbegu. Baada ya uotaji mimea ya mazao hupitia hatua
mbalimbali za ukuaji kabla wakulima hawajayavuna. Wakati wote
lengo la wakulima ni kupata mavuno mengi iwezekanavyo na yaliyo
bora zaidi. Lakini, si wakulima wote wanaweza kufanikisha lengo
hilo. Maana kuweka lengo ni kitu kimoja, na kufanikisha lengo
hilo ni kitu kingine tofauti kabisa. Kazi kubwa inatakiwa kutoka
kwa wenye kuweka lengo ili kufanikisha lengo hilo. Kwa hiyo,
wakati wote mavuno mengi na yaliyo bora ni matokeo ya juhudi
na maarifa ya wakulima. Lakini, katika kilimo, utimizaji wa lengo
ni kitu kinachowezekana, mradi wakulima wanatumia maarifa na
kuongeza juhudi yao kazini. Ili maarifa yatumike lazima pembejeo
zote na zana za kilimo zipatikane kwa wakati unaotakiwa na kwa
kiasi kinachotakiwa. Ni vigumu kuongeza maeneo yanayolimwa
na kutunzwa vizuri bila kuwa na zana za kilimo. Pembejeo za
kilimo ni kama vile maji, mbegu bora, mbolea, viuatilifu n.k. Zana
za kilimo ni kama vile majembe ya mkono, majembe ya kukokotwa
na wanyama na matrekta.

Pay with DPO

dpo
Book Title MBOLEA ZA VIWANDANI
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978-9987-426-33-1
Edition Language Kiswahili
Date Published 1993-07-14
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 93
Chapters 10

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs4,500.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs4,500.00
View