All eBooks

Jifunze Kustawisha MINAZI

Mnazi ni ‘Mti wa Uhai’ ni kauli isiyo na ubishi. Sehemu
mbalimbali za mti huu hutoa aina kadhaa za bidhaa. Kuanzia
mizizi hadi majani, sehemu zote hizo ni vyanzo vya matum

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
Jifunze Kustawisha MPUNGA

Mchele hutokana na mpunga. Wali hutumiwa kwa chakula na watu
wengi sana nchini na ni zao la biashara pia. Aidha, kilimo cha mpunga
si kigeni nchini. Takribani mikoa yote nchini hustaw

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
JIFUNZE KUSTAWISHA MTAMA

Mtama ni nafaka muhimu sana katika nchi za tropiki na za tropikiusu.

Ni zao linaloweza kustawi hata katika udongo fukara na hustahimili ukame.

Kati ya aina zote za nafaka, mtama

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2004
Jifunze Kustawisha PARETO

Pareto na Alizeti ni mazao mawili ambayo yako katika familia
moja. Pareto ni zao la biashara. Mimea ya pareto hudumu
shambani kwa zaidi ya miaka minne, lakini miaka inayozalisha

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
Jifunze Kustawisha UFUTA

Ufuta ni moja ya mazao muhimu ya mbegu za mafuta.
Hustawishwa kwa ajili ya chakula na biashara. Asili yake ni
Afrika Mashariki. Hapa nchini asilimia 75 ya ufuta wote
unaozalish

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
Jifunze Kustawisha UYOGA

Uyoga ni zao la viumbe hai viitwavyo kuvu. Kwa watu wengi
hapa nchini Uyoga unaofahamika ni ule unaookotwa
au unaoonekana ukiota porini au kwenye vichuguu wakati wa
msimu wa mv

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010
Jifunze Kustawisha VIAZI MVIRINGO
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2009
JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI VIKUU

Viazi vikuu ni jina la aina mojawapo ya mazao ambayo
huthamaniwa kwa sababu ya viazi vyake. Kuna aina zaidi ya
600 za viazi vikuu. Lakini, kwa sasa aina maarufu ambazo
hustawis

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1993
JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI VITAMU

Viazi Vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya
mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Kwa kawaida viazi vitamu
hustawishwa kwa kutumia mashina ambayo huitwa marando.
Zao hili

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1992
Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe

Ufugaji wa Nguruwe ni shughuli inayoweza kumwondoa mfugaji kwenye umaskini, kuipa familia yake kitoweo chenye viinilishe muhimu na kutunza mazingira. Nguruwe huzaa mara mbili kwa mwaka na kwa kila

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2009

Showing 51 – 60 of 214 results