JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI VITAMU

JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI VITAMU

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1992

Viazi Vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya
mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Kwa kawaida viazi vitamu
hustawishwa kwa kutumia mashina ambayo huitwa marando.
Zao hili ni muhimu sana kwa chakula cha watu wengi
duniani na mifugo, na umuhimu wake unazidi kuongezeka
siku hizi kutokana na uhaba au uchache wa mvua unaotokea
mara kwa mara. Mbali na kuwa chakula cha kawaida, vilevile,
viazi ni zao la kinga ya njaa. Havihitaji mvua nyingi sana.
Hukomaa haraka. Baada ya miezi minne unaweza kuanza
kuvivuna.

Pay with DPO

dpo
Book Title JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI VITAMU
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978-9987-426-34-8
Edition Language Kiswahili
Date Published 1992-04-05
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 68
Chapters 8

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs3,000.00 Tzs3,500.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs3,000.00 Tzs3,500.00
View