Jifunze Kustawisha UFUTA
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2010
Ufuta ni moja ya mazao muhimu ya mbegu za mafuta.
Hustawishwa kwa ajili ya chakula na biashara. Asili yake ni
Afrika Mashariki. Hapa nchini asilimia 75 ya ufuta wote
unaozalishwa hulimwa na wakulima wa mikoa ya Lindi, Mtwara
na Ruvuma. Asilimia 25 inayosalia huchangiwa na mikoa ya
Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga, Rukwa, Mbeya na kiasi
kidogo katika mikoa iliyosalia.
Wastani wa uzalishaji kwa hekta ni kilo 300, lakini wakulima
wakipanda aina bora na kuzingatia kanuni bora za zao hili
uzalishaji huweza kufika kilo 1,500. Uzalishaji mdogo
husabaishwa na:
Pay with DPO