Jifunze Ufugaji Bora wa Nguruwe
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2009
Ufugaji wa Nguruwe ni shughuli inayoweza kumwondoa mfugaji kwenye umaskini, kuipa familia yake kitoweo chenye viinilishe muhimu na kutunza mazingira. Nguruwe huzaa mara mbili kwa mwaka na kwa kila uzao huzao kuzaa vibwagara hadi ya kumi na viwili (12) na hata zaidi. Hii ina maana ya nguruwe 24 kwa mwaka. Aidha, vibwagara huongezeka uzito haraka sana ukilinganisha na mifugo mingine. Huongezeka gramu 500 hadi 700 kwa siku moja na hivyo kufikia uzito wa kuchinjwa, yaani, kilo 60 - 90, kati ya miezi 6 na 8 iwapo atatunzwa vizuri. Hii pia itamwezesha mfugaji kujipatia kipato kizuri ndani ya kipindi kifupi. Lakini, ili mkulima aweze kunufaika na ufugaji huu, lazima azijue Kanuni za Ufugaji Bora wa Nguruwe na kuzifuata barabara. Kanuni hizo ni kama zifuatazo:
Pay with DPO