Jifunze Kustawisha MINAZI
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2010
Mnazi ni ‘Mti wa Uhai’ ni kauli isiyo na ubishi. Sehemu
mbalimbali za mti huu hutoa aina kadhaa za bidhaa. Kuanzia
mizizi hadi majani, sehemu zote hizo ni vyanzo vya matumizi
mbalimbali kama vile chakula, ujenzi wa nyumba, samani n.k.
Minazi ni zao la chakula, la biashara na hutengeneza vifaa vya
aina nyingi. Kilimo chake ni rahisi. Minazi hustawi zaidi katika
mwambao wa Tanzania, hasa mikoa ya Lindi, Mtwara, Pemba,
Pwani, Tanga na Unguja. Aidha, minazi hukutwa ikistawi
katika mikoa kadhaa mingine, ingawa ni kwa kiasi kidogo.
Pay with DPO