Jifunze Kustawisha MPUNGA

Jifunze Kustawisha MPUNGA

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2010

Mchele hutokana na mpunga. Wali hutumiwa kwa chakula na watu
wengi sana nchini na ni zao la biashara pia. Aidha, kilimo cha mpunga
si kigeni nchini. Takribani mikoa yote nchini hustawisha mpunga,
ingawa ipo ambayo ni maarufu, kama vile, Shinyanga, Simiyu,
Morogoro, Mbeya, Mwanza, Geita, Kilimanjaro, Dodoma, Pwani,
Mtwara na Lindi.
Takribani asilimia 95 ya mpunga unaozalishwa nchini huzalishwa
na wakulima wadogo, kilimo chao hutegemea maji ya mvua na
kimegawanyika katika maeneo matatu ya uzalishaji:
(a) Mpunga unaolimwa mabondeni kwa kutumia maji ya mvua.
Huchukua asilimia 72 ya eneo lote linalolimwa mpunga nchini.
(b) Mpunga unaolimwa mabondeni kwa kutumia umwagiliaji.
Huchukua asilimia 8. Mpunga wa umwagiliaji ni wa hakika zaidi
na hutoa mavuno makubwa na ya uhakika.
(c) Mpunga unaolimwa milimani au kwenye mii nuko. Jina lingine ni
mpunga wa nchi kavu na hutegemea mvua za msimu. Huchukua
asilimia 20 ya eneo lote linalolimwa mpunga nchini.

Pay with DPO

dpo
Book Title Jifunze Kustawisha MPUNGA
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978 9987 07 026 8
Edition Language Kiswahili
Date Published 2015-03-10
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 84
Chapters 15

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs5,000.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs5,000.00
View