All eBooks

MWONGOZO KWA WAANDISHI WA HABARI

Mnamo tarehe 23 – 30 Agosti, 1991 kilichokuwa Chama cha Ushirika cha Waandishi na Wachapishaji cha Kagera (Kagera Writers and Publishers Co-operative Society Ltd) kiliandaa Warsha Mjini Bukob

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2004
MWONGOZO WA HIFADHI BORA YA NAFAKA NA JAMII YA MAHARAGE

Lengo la mkulima kustawisha mimea ya mazao ni hatimaye apate
mavuno mengi na yaliyo bora. Wingi wa mavuno unamaanisha uzito.
Uzito hupimwa kwa kilogramu. Kwa upande mwingine, ubora wa

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021
Mwongozo wa Kilimo Bora cha Alizeti

Alizeti ni zao linaloweza kuwakomboa wakulima kiuchumi. Pia,
huchangia pato la taifa na kuliingizia taifa fedha za kigeni kwa kuuza
bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa kutokana na mbeg

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2007
MWONGOZO WA KILIMO BORA CHA CHAI

Chai ni zao la tano baada ya korosho, pamba, kahawa na
tumbaku katika kulii ngizia taifa fedha za kigeni. Zao hili
lilianza kulimwa na Watanzania wazalendo, hususan, wakulima
w

  • AuthorFilbert Y. Kavia
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2012
MWONGOZO WA KILIMO BORA CHA KAHAWA

Kitabu hiki, Mwongozo wa Kilimo Bora cha Kahawa, ni moja
kati ya vitabu viwili nilivyoviandika juu ya zao hii nchini.
Kitabu kingine kinaitwa Kahawa Tanzania. Nakushauri
uwenav

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018
Mwongozo wa Kilimobiashara cha Mipapai

Kitabu kinaeleza Sayansi ya Muundo wa Mpapai; Faida zake; Aina bora na Maumbo ya Mapapai; Mifumo ya kilimo cha Mipapai; Mah

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2022
Mwongozo wa Kilimobiashara cha Parachichi

Mwongozo wa Kilimobiashara cha Parachichi

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2023
Mwongozo wa Kilimobiashara cha Vanilla

Vanila ni zao jipya nchini, lakini, limeteuliwa na serikali kuwa moja ya mazao machache ya mkakati: Vanila ni zao la kiungo ambalo hutumika kuweka harufu nzuri kwenye bidhaa mbalimbali za vinywaji,

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2023
MWONGOZO WA KUANDIKA  HADITHI FUPI
Tzs6,000.00 Tzs10,000.00

Mwongozo wa Kuandika Hadithi Fupi ni kitabu cha kipekee kilichoandikwa kwa ajili ya waandishi wanaoanza kuand

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2026
MWONGOZO WA KUSTAWISHA MIMEA YA MATUNDA

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kutafsiri, kupiga chapa,
kunakili au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi nyingine yoyote ile bila idhini
ya maandishi ya Tanzania Educational Pub

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021

Showing 121 – 130 of 225 results