MWONGOZO WA KILIMO BORA CHA KAHAWA
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2018
Kitabu hiki, Mwongozo wa Kilimo Bora cha Kahawa, ni moja
kati ya vitabu viwili nilivyoviandika juu ya zao hii nchini.
Kitabu kingine kinaitwa Kahawa Tanzania. Nakushauri
uwenavyo vyote viwili na uvisome.
Katika kitabu hiki neno mbuni lina maana ya mmea (wa
kahawa), buni ni matunda yanayotokana na maua, punje ni
mbegu zinazopatikana kwa kukoboa buni kavu au kumenya
buni mbichi zilizoiva, kuvundika, kuziosha, kuzikausha na
kuziondoa ngozi ya ndani. Neno kahawa lina maana pia ya
mmea mzima, zao lenyewe ikiwa ni pamoja na punje ambazo
ndizo huuzwa.
Pay with DPO