Mwongozo wa Kilimobiashara cha Vanilla
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2023
Vanila ni zao jipya nchini, lakini, limeteuliwa na serikali kuwa moja ya mazao machache ya mkakati: Vanila ni zao la kiungo ambalo hutumika kuweka harufu nzuri kwenye bidhaa mbalimbali za vinywaji, mapochopocho, vipodozi, vyakula n.k. bei yake ni kubwa ndani na nje ya nchi.
Katika kitabu hiki, mwandishi Pius B. Ngeze ameelezea kwa kina sifa na mahitaji ya zao hili kustawi kibiashara. Utaalam unahitajika kulistawisha inavyotakiwa.
Mwisho mwa kitabu ipo Sura inayoonyesha gharama za kuanzisha, na kutunza shamba la eka moja kwa miaka michache ya mwanzo na uchambuzi wa faida/hasara.
Kitabu hiki ni kizuri kwa marejeo ya wakulima wapya na wa zamani wa vanila, maofisa ugani na viongozi wa kuchaguliwa na kuteuliwa.
Pay with DPO