All eBooks

Usalama Mitandaoni Udhibiti na Udukuzi wa Mitandaoni

Suala la Usalama Mitandaoni ni mchakato na linahusisha moja kwa moja jinsi tunavyotumia mashine au vifaa vya kielektroniki. Udukuzi pamoja na Uhandisi wa Kijamii mara nyingi huwalenga watu wanaopen

  • AuthorFortunatus J. Chalamila
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018
USHIRIKA TANZANIA

Shabaha kuu ya Vyama vya Ushirika vilipoanzishwa, ilikuwa kuuza
mazao ya wanachama kwa bei nzuri na wakati huohuo kuondoa unyonyaji
wa wafanyabiashara ambao walikuwa wakinunua mazao h

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1975
USTAWISHAJI BORA WA CHAI

Chai ni moja ya mazao muhimu nchini. Zao hili hustawishwa kwa ajili ya majani yake ambayo yana asilimia 4 ya kafeini.

Kwa mkulima, ni zao ambalo huweza kumpatia fedha kila wiki kwa kuchum

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2004
UTENGENEZAJI NA MATUMIZI YA MBOLEAVUNDE KATIKA KILIMO

Mimea inapokuwa shambani hufyonza virutubisho vya
mimea kutoka udongoni. Kati ya virutubisho hivyo, vilivyo
muhimu zaidi ni nitrojeni, fosforasi, potasi, kalisi na feri.
Mimea

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1992
UTOAJI HAKI MAHAKAMANI

Pamekuwapo na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi,
hata katika vyombo vya habari, kuwa, mahakama imetoka
katika nafasi yake ya kutoa haki na badala yake inachangia
haki ku

  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2016
UWAKILISHI MAHAKAMANI TANZANIA

“Haki ya Uwakilishi ni haki ya kisheria kwa mdaawa yeyote katika
mahakama. Inahusiana na haki nyingine mbili ambazo ni Haki ya
kusikilizwa na Haki ya uhuru binafsi. Ili usikiliz

  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2013
VIJANA HODARI

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kupiga
picha au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi nyingine yoyote ile bila
idhini ya Tanzania Educational Publishers Ltd.

  • AuthorSerapion Karoli
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2003
VISUMBUFU VYA MAZAO SHAMBANI

Mazao yaliyo shambani ni viumbe hai. Yakishambuliwa na
visumbufu huweza kudhoofika au kufa kabisa. Iwapo
hayatakufa, mavuno yatakayopatikana yatakuwa kidogo. Ubora
na thamani y

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1980
Vitendo vya Kihesabu kwa Shule za Awali

Kitabu hiki cha michoro ya rangi nne kimetayarishwa na mwandishi ambaye ni Mwalimu mwenye uzoefu wa miaka mingi ya kufundisha watoto katika Shule za Awali na Darasa la Kw

  • AuthorMusimami N. Mathias
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2013
VURUMAI YA WANYAMA NDANI YA GARI

Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kupiga
picha au kukitoa kitabu hiki kwa jinsi nyingine yoyote ile
bila idhini ya Tanzania Educational Publishers Ltd.

  • AuthorDagobert Joseph Munywambele
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2003

Showing 211 – 220 of 225 results