Usalama Mitandaoni Udhibiti na Udukuzi wa Mitandaoni

Usalama Mitandaoni Udhibiti na Udukuzi wa Mitandaoni

4.0
  • AuthorFortunatus J. Chalamila
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018

Suala la Usalama Mitandaoni ni mchakato na linahusisha moja kwa moja jinsi tunavyotumia mashine au vifaa vya kielektroniki. Udukuzi pamoja na Uhandisi wa Kijamii mara nyingi huwalenga watu wanaopenda kufanya vitu ambavyo hawapaswi kufanya, kama vile, kufungua mitandao binafsi ya kijamii kwa kutumia kompyuta za ofisi, kufungua baruapepe ambayo hukutarajia kuipata, kujibu simu au baruapepe zinazokutaarifu kushinda bahati nasibu fulani ambayo hujawahi hata kushiriki. Kwa upande mwingine, elewa kuwa chochote ukifanyacho ukiwa mitandaoni, kinahifadhiwa na kinaweza kufuatiliwa na vyombo vya serikali, kama vile, Jeshi la Polisi, na wanao uwezo wa kufuatilia nyaraka zako kwa nia njema tu. lakini, Wadukuzi, Makampuni na Taasisi zingine binafsi nao wanaweza kufuatilia nyaraka na utambulisho wako kwa maslahi yao binafsi. Kwa hiyo, huna faragha. Faragha ni haki ya kila mmoja wetu na una haki ya kulinda faragha yako ukiwa mitandaoni. Katika nyakati tulizo nazo za dunia kuwa kama kijiji kidogo, ni watu wachache sana w anaoweza kulinda faragha yao.

Pay with DPO

dpo

Book Title Usalama Mitandaoni Udhibiti na Udukuzi wa Mitandaoni
Author Fortunatus J. Chalamila
ISBN 978 9987 07 073 2
Ediiton Language Kiswahili
Date Published 2018-10-18
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 89
Chapters 9

Related Books

TEHAMA kwa Shule za Msingi, Kitabu cha Marejeo kwa Walimu wa Shule za Msingi na Walimu Tarajali katika Vyuo vya Walimu
TEHAMA kwa Shule za Msingi, Kitabu cha Marejeo kwa Walimu wa Shule za Msingi na Walimu Tarajali katika Vyuo vya Walimu
  • TEHAMA KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View

125,663

Happy Customers

50,672

Book Collections

1,562

Our Stores

457

Famous Writers