Vitendo vya Kihesabu kwa Shule za Awali

Vitendo vya Kihesabu kwa Shule za Awali

4.0
  • AuthorMusimami N. Mathias
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2013

Kitabu hiki cha michoro ya rangi nne kimetayarishwa na mwandishi ambaye ni Mwalimu mwenye uzoefu wa miaka mingi ya kufundisha watoto katika Shule za Awali na Darasa la Kwanza katika Shule za Msingi nchini.

Madhumuni ya kitabu hiki ni kutoa elimu ya Vitendo vya Kihesabu kwa Watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 6 ambao hawajaanza Darasa la Kwanza, lakini wanaandaliwa kuingia darasa hili. Elimu hii hudumisha msingi, tabia, maadili na heshima katika tendo la kujifunza kwa njia ya picha.

Pay with DPO

dpo
Book Title Vitendo vya Kihesabu kwa Shule za Awali
Author Musimami N. Mathias
ISBN 978 9987 671 62 5
Edition Language
Date Published 2023-03-07
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 31
Chapters 1

Related Books

Alfabeti Yetu
Alfabeti Yetu
  • SHULE ZA AWALI (NURSERY SCHOOLS)
Tzs3,000.00 Tzs3,500.00
View
Sisi ni Herufi – Hatua ya Kwanza
Sisi ni Herufi – Hatua ya Kwanza
  • SHULE ZA AWALI (NURSERY SCHOOLS)
Tzs3,000.00 Tzs3,500.00
View