UWAKILISHI MAHAKAMANI TANZANIA

UWAKILISHI MAHAKAMANI TANZANIA

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2013

“Haki ya Uwakilishi ni haki ya kisheria kwa mdaawa yeyote katika
mahakama. Inahusiana na haki nyingine mbili ambazo ni Haki ya
kusikilizwa na Haki ya uhuru binafsi. Ili usikilizaji wa kesi mahakamani
uwe wa haki, wadaawa wanapaswa wawe wanaelewa kinachofanyika.
Jambo hili si rahisi kutokana na ugumu wa ufundi wa kisheria. Hata
watu wanaoelewa kwenye jamii zetu hupata utata wakiwa mahakamani.
Hii ni kwa sababu hawakufundishwa taaluma hii.” (Profesa Chris
Maina Peter, katika kitabu chake kiitwacho Human Rights in Tanzania,
Toleo la 1997, ukurasa wa 333).
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, (Sura ya 2 R.E. 2002)
kwenye ibara ya 13(6)(a), inaonyesha kuwa, “Wakati Haki na Wajibu kwa
mtu yeyote inapohitajika kufanyiwa maamuzi na mahakama au chombo
chochote, basi, mtu huyo atakuwa na haki ya kupewa fursa ya kusikilizwa
kwa ukamilifu ……..”

Pay with DPO

dpo
Book Title UWAKILISHI MAHAKAMANI TANZANIA
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 07 046 6
Edition Language Kiswahili
Date Published 2012-04-21
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 40
Chapters 15

Related Books

HAKI NA KERO MAHAKAMANI
HAKI NA KERO MAHAKAMANI
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View
KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View