UTENGENEZAJI NA MATUMIZI YA MBOLEAVUNDE KATIKA KILIMO

UTENGENEZAJI NA MATUMIZI YA MBOLEAVUNDE KATIKA KILIMO

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1992

Mimea inapokuwa shambani hufyonza virutubisho vya
mimea kutoka udongoni. Kati ya virutubisho hivyo, vilivyo
muhimu zaidi ni nitrojeni, fosforasi, potasi, kalisi na feri.
Mimea hutumia virutubisho hivyo kwa kukua, kuzaa,
kujii marisha na kupevusha matunda ili kutupatia mavuno
yaliyo mengi na bora. Karibu sehemu zote za mimea zina
virutubisho. Sehemu hizo ni mizizi, mashina, majani, maua
na matunda. Lakini, si sehemu zote hizo hutumiwa na
binadamu kwa chakula. Kwa kawaida sehemu zinazotumiwa ni
maua, majani, mbegu matunda au tyuba. Hata hivyo,
sehemu halisi inayotumika hutegemea aina ya zao au mmea.
Sehemu zinazobaki ambazo hazitumiwi na binadamu au
mifugo kwa chakula hubaki na virutubisho hivyo. Iwapo
sehemu kama hizo zitaachwa ziharibike ovyo huko
shambani, au kuzichoma moto, hasa nje ya shamba, aina
hizo za vyakula zitapotea bure bila kuwafaidia wakulima
wala taifa.

Pay with DPO

dpo
Book Title UTENGENEZAJI NA MATUMIZI YA MBOLEAVUNDE KATIKA KILIMO
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978-9976- 982-17-6
Edition Language
Date Published 1992-02-16
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 72
Chapters 6

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View