UFUGAJI BORA WA SUNGURA
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2009
Sungura ni moja ya wanyama wadogo ambao ni rahisi kuwafuga. Nyama yao inafanana na ya kuku na ni tamu. Ina protini nyingi na viinilishe muhimu. Ni dawa kwa watu wagonjwa, wazee na watoto dhaifu. Vipande vya nyama yake vinaweza kuliwa baada ya kupikwa, kukaangwa, kuokwa au kutengeneza supu ambayo ni nzuri sana hasa kwa wagonjwa.
Pay with DPO