Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Mbuzi
-
AuthorPius B. Ngeze,
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2004
Asilimia 99.6 ya mbuzi wanaofugwa nchini ni wa asili wanaojulikana kama Mbuzi Wadogo wa Afrika Mashariki. Asilimia 0.4 iliyosalia ni mbuzi wa kigeni na mbuzi chotara. Kwa hiyo, kwa sasa, unapozungumzia ufugaji wa mbuzi, unamaanisha ufugaji wa mbuzi wa asili, ambao kwa kweli kimatumizi ni mbuzi wa nyama, maana hawakamuliwi. Mbuzi hawa wana sifa na tabia zifuatazo:
Pay with DPO