KUTOKA UCHUNGAJI KWENDA UFUGAJI TANZANIA

KUTOKA UCHUNGAJI KWENDA UFUGAJI TANZANIA

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2007

Kutoka UCHUNGAJI kwenda UFUGAJI Tanzania ni jina la kitabu hiki ambalo limechaguliwa kwa makini ili kuonyesha dira au lengo la ufugaji katika nchi yetu. Wananchi wetu wanaomiliki mifugo, hasa ng’ombe, mbuzi na kondoo wanachunga, hawafugi. Katika kuchunga, huhamahama ndani ya Kijiji, Kata, Wilaya na hata baina ya Mikoa. Matokeo yake ni uharibifu wa mazingira, kueneza magonjwa ya mifugo na hatimaye mifugo hukonda. Ili waweze kupata fedha nyingi lazima wenye mifugo hao wawe na mifugo mingi, hasa ng’ombe. Rais wetu, Mheshimiwa Jakaya M. Kikwete, alipotembelea mfugaji mmoja nchini Afrika Kusini mapema mwaka 2006 alifurahi alipoonyeshwa ng’ombe mmoja mwenye kilo 1,500. Aliporudi nchini akaelezwa kuwa hata Tanzania wapo ng’ombe wenye zaidi ya kilo 1,500 kila mmoja. Uzito huu ni matokeo ya kufuga, si kuchunga.

Pay with DPO

dpo
Book Title KUTOKA UCHUNGAJI KWENDA UFUGAJI TANZANIA
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978-9987-426-17-4
Edition Language KISWAHILI
Date Published 2007-05-24
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 80
Chapters 4

Related Books

Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Mbuzi
Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Mbuzi
  • UFUGAJI WA WANYAMA (ANIMAL HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View
UFUGAJI BORA WA SUNGURA
UFUGAJI BORA WA SUNGURA
  • UFUGAJI WA WANYAMA (ANIMAL HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View