Magonjwa ya Mifugo
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2010
Magonjwa ndicho chanzo kikuu cha vifo vya mifugo na umaskini wa wafugaji. Maelfu ya mifugo hufa kila mwaka kutokana na magonjwa. Bila kuugua, mifugo haiwezi kufa kwa kiasi hicho. Lakini, magonjwa yana visababishi au wakala. Tukijua visababishi hivyo na namna ya kuvidhibiti au kuvipunguza, magonjwa yatapungua sana. Kitabu hiki kinatoa elimu ya magonjwa: maana ya ugonjwa, wakala wake, aina, namna ya kuyazuia na matibabu yake. Ni elimu ambayo kila mkulima, hususan, kila mfugaji, maofisa ugani na viongozi wanatakiwa wawe nayo.
Pay with DPO