UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA

UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA

4.0
  • AuthorKADADET TANZANIA
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2004

Kitabu hiki ni mwongozo kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa, hasa wafugaji wadogowadogo wanaoanza kufuga ng’ombe hao. Wakulima wanafahamishwa juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Idara ya Mifugo. Aidha maelezo juu ya aina za ng’ombe wa maziwa, mambo ya kuandaa, ujenzi wa zizi, malisho, uzalishaji, ukamuaji, magonjwa na takwimu kuhusu uendeshaji mzima wa ufugaji wa ng’ombe wa maziwa vimefafanuliwa.
Kwa kuwa pamejitokeza fikra zisizo sahihi kwamba ufugaji wa ng’ombe na mifugo mingine kwa ujumla unasababisha uharibifu wa mazingira, imelazimu kutoa maelezo ndani ya kitabu hiki kuonyesha jinsi gani mazingira yanavyoweza kuboreshwa kwa kutumia mifugo. Aidha, kwa kumsaidia mkulima kufuatilia afya ya ng’ombe wake na kutambua kwa haraka magonjwa yanapojitokeza, kumewekwa kielelezo (jedwali) cha uchambuzi wa aina za magonjwa, dalili zake na jinsi ya kuyazuia.

Pay with DPO

dpo
Book Title UFUGAJI BORA WA NG'OMBE WA MAZIWA
Author KADADET TANZANIA
ISBN 978 9987 671 48 9
Edition Language Kiswahili
Date Published 2004-05-11
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 108
Chapters 12

Related Books

Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Mbuzi
Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Mbuzi
  • UFUGAJI WA WANYAMA (ANIMAL HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View
UFUGAJI BORA WA SUNGURA
UFUGAJI BORA WA SUNGURA
  • UFUGAJI WA WANYAMA (ANIMAL HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View