KILIMOBIASHARA na KANUNI ZA KUKIFANIKISHA

KILIMOBIASHARA na KANUNI ZA KUKIFANIKISHA

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021

Kilimo cha Mazoea au Kilimo cha Kujikimu ni kile
ambacho ni cha hali duni sana, kwa ajili ya kupata chakula.
Ni kilimo cha kutumia majembe ya mkono, bila utaalamu,
mtaji kidogo au bila uwekezaji, kanuni za kilimo cha kisasa
hazitumiki na kinategemea mvua zinazonyesha kwa msimu.
Mbegu za kienyeji ndizo hutumika kila msimu na hutokana
na mavuno ya msimu uliopita. Kwao mbegu za chotara
hazijulikani. Ardhi inayotumika ni kidogo, mbolea za aina
zote hazitumiki. Kutokana na kutokuwa na ujuzi na uwezo
wa kununua viuatilifu, kiasi kikubwa cha mavuno hupotea
na ubora wake hushuka sana kutokana na kushambuliwa na
magugu, magonjwa, wadudu, ndege na wanyama waharibifu.
Kutokuwa na maghala au stoo za kuhifadhia mavuno, upotevu
ni mkubwa. Tija ya ardhi iko chini sana. Matokeo yake ni
umaskini wa wakulima, ambao ndio wengi nchini, wa mwaka
hadi mwaka. Hawana fedha za kununulia mahitaji mengine,
kwa baadhi yao chakula hakiwatoshelezi kwa mwaka mzima na
mchango wao kwa pato la taifa ni mdogo

Pay with DPO

dpo
Book Title KILIMOBIASHARA na KANUNI ZA KUKIFANIKISHA
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978-9987-584-21-9
Edition Language
Date Published 2021-02-10
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 40
Chapters 6

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs4,500.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs4,500.00
View