KILIMO BORA CHA MUHOGO
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2004
Muhogo ni moja ya mazao ya mizizi ambayo ni muhimu sana
kwa chakula nchini. Umuhimu wake unatokana na uwezo wake
wa kustawi na kutoa mavuno ya kuridhisha katika mazingira
ya ukame na udongo usiokuwa na rutuba nyingi ambapo mazao
mengine yasingeweza kustawi. Hustawi katika sehemu nyingi,
hasa, za ukanda wa chini na miinuko ya kadiri.
Pay with DPO