KILIMO BORA CHA MAHARAGE

KILIMO BORA CHA MAHARAGE

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2003

Maharage si zao geni kwa mtu mzima. Maana kila mmoja wetu hula
maharage. Katika sehemu kadhaa za nchi yetu, maharage yanaweza
kulimwa na kuvunwa mara mbili na hata mara tatu kwa mwaka. Maharage
ni zao muhimu sana. Umuhimu wake uko katika kutumiwa kwa chakula
cha binadamu na mifugo na pia katika kurutubisha ardhi. Vilivile,
maharage huuzwa na kuwaletea fedha wakulima. Bei yake kwa sasa ni
ya juu. Aidha, kutokana na kampeni za kiafya, watu wengi sasa wanakula
maharage kwa wingi zaidi kuliko ilivyokuwa zamani. Hakuna shaka
mahitaji ya zao hili yanazidi kuongezeka mwaka hadi mwaka.

Pay with DPO

dpo
Book Title KILIMO BORA CHA MAHARAGE
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978-9987-671-41-0
Edition Language Kiswahili
Date Published 2003-02-03
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 71
Chapters 13

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs5,000.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs5,000.00
View