WASHAURI WA MAHAKAMA NA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA TANZANIA

WASHAURI WA MAHAKAMA NA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA TANZANIA

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2016

Utoaji haki katika Mahakama na Baraza la Ardhi na
Nyumba la Wilaya huwa unazitaka baadhi ya taasisi hizo
kushirikisha wananchi katika kazi hiyo kwa kupitia Washauri
wa Mahakama na Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya.
Washauri hao, si wataalamu wa sheria na wamekuwa
wakitekeleza wajibu huo bila kuwa na mafunzo maalumu,
hivyo, kutumia busara zaidi katika utoaji wa maoni yao.
Kitabu hiki kina kuelimisha kuhusu sifa, uteuzi na wajibu
wa Washauri hao na athari ya kutozingatia maoni yao.

Pay with DPO

dpo
Book Title WASHAURI WA MAHAKAMA NA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA TANZANIA
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978-9987-671-34-2
Edition Language Kiswahili
Date Published 2016-07-01
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 54
Chapters 4

Related Books

HAKI NA KERO MAHAKAMANI
HAKI NA KERO MAHAKAMANI
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs3,000.00 Tzs3,500.00
View
KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs3,000.00 Tzs3,500.00
View