HAKI NA KERO MAHAKAMANI

HAKI NA KERO MAHAKAMANI

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2015

Madhumuni ya kitabu hiki ni kuwafahamisha wananchi
Wajibu wa Hakimu wakati anapotekeleza kazi za kimahakama.
Wananchi wafahamu maadili ya kazi ya hakimu. Hakimu
ambaye amekabidhiwa madaraka ya kutoa haki kwa
anayeitafuta, anapaswa aonekane vipi katika jamii?
Pamekuwapo na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi
wakiwatuhumu baadhi ya Mahakimu kuwa hawatendi
wajibu wao kwa kuzingatia sheria. Baadhi ya shutuma
zinasema kuwa, mahakimu wamepewa madaraka makubwa
kiasi hata anaposababisha kupotea haki kwa uzembe
hachukuliwi hatua yoyote ya kinidhamu.

Pay with DPO

dpo
Book Title HAKI NA KERO MAHAKAMANI
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 426 40 9
Edition Language Kiswahili
Date Published 2014-12-14
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 142
Chapters 6

Related Books

KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View
KUTATHMINI MALI NA MAKOSA YA UHARIBIFU WAKE
KUTATHMINI MALI NA MAKOSA YA UHARIBIFU WAKE
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View