MABARAZA NA MAHAKAMA ZA ARDHI TANZANIA

MABARAZA NA MAHAKAMA ZA ARDHI TANZANIA

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2018

Uandishi wa sheria, hususani, vitabu vya kisheria kwa lugha ya
Kiswahili, Tanzania limekuwa ni tatizo la muda mrefu kutokana na
sababu mbalimbali zikiwemo za kihistoria, kisiasa na hata
kiuchumi. Mara nyingi utakuta vitabu vingi na vijarida vya
kisheria vimeandikwa kwa lugha ya kigeni. Tanzania ni
nchi iliyoamua kutumia Kiswahili mara baada ya uhuru, lakini,
kama kuna eneo lilibaki kwa lugha ya Kii ngereza kwa miongo
mingi ni hili la Sheria.

Pay with DPO

dpo
Book Title MABARAZA NA MAHAKAMA ZA ARDHI TANZANIA
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 07 074 9
Edition Language Kiswahili
Date Published 2016-04-01
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 136
Chapters 7

Related Books

HAKI NA KERO MAHAKAMANI
HAKI NA KERO MAHAKAMANI
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View
KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View