KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI

KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI

4.0
  • AuthorAl- Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2017

Unaweza kujiuliza kwa nini sikukipatia kitabu hiki jina la
“Kufungua Shauri Linalohusu Migogoro ya Ardhi na Utetezi
wake Mahakamani” na badala yake nikakiita “Kufungua
Shauri na Utetezi Mahakamani.” Jibu ni kuwa nimefanya
hivyo kutokana na sababu mbili zifuatazo:
Jina la kitabu liwe fupi.
Katika ujumla wake, elimu iliyomo kitabuni inayohusu
namna ya kufungua Shauri na Utetezi wake Mahakamani
inaweza kutumika kwa aina nyingine za mashauri, ingawa
ni kweli ziko tofauti ndogondogo.

Pay with DPO

dpo
Book Title KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
Author Al- Muswadiku K. Chamani
ISBN 978-9987-671-34-2
Edition Language
Date Published 2017-01-01
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 163
Chapters 5

Related Books

HAKI NA KERO MAHAKAMANI
HAKI NA KERO MAHAKAMANI
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00
View
KUTATHMINI MALI NA MAKOSA YA UHARIBIFU WAKE
KUTATHMINI MALI NA MAKOSA YA UHARIBIFU WAKE
  • UTOAJI WA HAKI MAHAKAMANI (JUSTICE IN COURTS)
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00
View