Penzi liliponzwa

Penzi liliponzwa

4.0
  • AuthorAbdalah Msakanjia
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2022

Mazingira ya kitabu hiki ni Kigali, nchini Rwanda. Riwaya hii ya kusisimua inawahusu wapenzi wawili, Jose na Menie, ambao walikutana walipokuwa wakifanya kazi Rediowanda, Kigali miaka ya 1970. Wakati riwaya hii   ikiandikwa,   mwaka   1970,   hapakuwapo mawasiliano ya kisasa ya si mu za mkononi wala intaneti. Mawasiliano    yalikuwa    ni    kwa    barua    tu.

Riwaya    hii iliandikwa   na   kusomwa   kwa   mara   ya   kwanza   kwenye Redio     Rwanda,     Kigali.

Katika     kitabu     hiki,     Penzi Lililoponzwa,     mwandishi     anaonyesha     jinsi     penzi     la wapendanao     hao     lilivyoponzwa.     Kisome     kitabu     ili kupata   utamu   uliomo   kwenye   riwaya   hii   ya   kusisimua pamoja na mafunzo.

Pay with DPO

dpo
Book Title Penzi liliponzwa
Author Abdalah Msakanjia
ISBN 978-9987-07-052-7
Edition Language
Date Published 2023-09-08
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 21
Chapters 1

Related Books

Rita Koku
Rita Koku
  • RIWAYA
Tzs5,000.00 Tzs15,000.00
View
Tusiwahukumu Changudoa
Tusiwahukumu Changudoa
  • RIWAYA
Tzs5,000.00 Tzs15,000.00
View