Dhuluma ya Haki

Dhuluma ya Haki

4.0
  • AuthorAhmad Mujaki
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2019

Riwaya ya Dhuluma ya Haki imebuniwa kwa kufuata matukio yanayodhihirisha ulevi wa madaraka.  Katika matayarisho ya Utawala Bora barani Afrika, tunawajibika kuwafundisha vijana wetu wakatae kudhulumiwa haki zao na hata wao wasidhulumu haki za watu wengine.

Riwaya hii imelenga watu wote, hasa, vijana na viongozi. Lengo kuu la riwaya hii ni kuionyesha jamii yetu ya kiafrika, jinsi baadhi ya viongozi wanavyotumia madaraka vibaya na madhara yake.  Hii inaonyesha kuwa, ingawa mtu mwenye madaraka makubwa ana uwezo wa kudhulumu haki za wanyonge, ijulikane wazi kuwa, dhuluma ina mwisho, na ni lazima iwe na mwisho. Wananchi wanyongwe, hawawezi kudhulumiwa milele. Iko siku udhulumaji wa haki utakomeshwa katika nchi zetu. Iko siku wanyongwe watakataa kuendelea kudhulumiwa haki zao.

Ninaamini kuwa iko siku viongozi wa kizazi kipya watakomesha dhuluma ya haki za wananchi, hususan, wanyongwe.
Ahmad Mujaki.
Kampala
Uganda.

Pay with DPO

dpo
Book Title Dhuluma ya Haki
Author Ahmad Mujaki
ISBN 978-9987-07-072-5
Edition Language
Date Published 2023-12-14
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 82
Chapters 6

Related Books

Penzi liliponzwa
Penzi liliponzwa
  • RIWAYA
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00
View
Rita Koku
Rita Koku
  • RIWAYA
Tzs5,000.00 Tzs5,000.00
View