Search results for "KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)"

SAYANSI YA UDONGO

Uharibifu wa udongo ni uharibifu wa mazingira. Kwa hiyo,
hifadhi ya udongo ni hifadhi ya mazingira. Udongo ni kitu cha
thamani sana. Kwa sababu hii, watu wote wenye akili
huony

  • AuthorPius B.Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1983
USTAWISHAJI BORA WA CHAI

Chai ni moja ya mazao muhimu nchini. Zao hili hustawishwa kwa ajili ya majani yake ambayo yana asilimia 4 ya kafeini.

Kwa mkulima, ni zao ambalo huweza kumpatia fedha kila wiki kwa kuchum

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2004
UTENGENEZAJI NA MATUMIZI YA MBOLEAVUNDE KATIKA KILIMO

Mimea inapokuwa shambani hufyonza virutubisho vya
mimea kutoka udongoni. Kati ya virutubisho hivyo, vilivyo
muhimu zaidi ni nitrojeni, fosforasi, potasi, kalisi na feri.
Mimea

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1992
VISUMBUFU VYA MAZAO SHAMBANI

Mazao yaliyo shambani ni viumbe hai. Yakishambuliwa na
visumbufu huweza kudhoofika au kufa kabisa. Iwapo
hayatakufa, mavuno yatakayopatikana yatakuwa kidogo. Ubora
na thamani y

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1980
Wadudu Wanaoshambulia Miembe na Maembe na Udhibiti wake

Magonjwa ni moja ya visumbufu vikuu vya miembe na maembe. Sehemu mbalimbali za miembe na matunda hushambuliwa na aina moja au zaidi ya magonjwa.
Magonjwa hayo hutengwa katika makundi makuu m

  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2023

Showing 51 – 55 of 55 results