Wadudu Wanaoshambulia Miembe na Maembe na Udhibiti wake
-
AuthorPius B. Ngeze
- PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
- Year2023
Magonjwa ni moja ya visumbufu vikuu vya miembe na maembe. Sehemu mbalimbali za miembe na matunda hushambuliwa na aina moja au zaidi ya magonjwa.
Magonjwa hayo hutengwa katika makundi makuu manne yafuatayo:
- Magonjwa ya Kuvu
- Magonjwa ya Virusi
- Magonjwa ya Bakteria
- Magonjwa ya Mwani
Ni jukumu la mkulima kuelewa aina za magonjwa yanayotengwa kwa kila kundi, dalili zake, madhara yanayosababishwa na njia za udhibiti wake.
Kitabu hiki kitamsaidia mkulima kuelewa njia mbalimbali za kuwazuia wadudu hao wasishambulie mimea na magonjwa na njia za kuyaangamizi yanapokuwa yameishashambulia miembe na maembe.
Pay with DPO