SAYANSI YA UDONGO

SAYANSI YA UDONGO

4.0
  • AuthorPius B.Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year1983

Uharibifu wa udongo ni uharibifu wa mazingira. Kwa hiyo,
hifadhi ya udongo ni hifadhi ya mazingira. Udongo ni kitu cha
thamani sana. Kwa sababu hii, watu wote wenye akili
huonyesha kwa vitendo jinsi wanavyouthamini. Kwa wajenzi
wa nyumba na majengo mengine, udongo ni msingi mkubwa
wa mafanikio ya kazi yao. Kwa sababu hii, kabla ya kuanza
ujenzi hufanya jitihada za kuelewa kwa undani sana sifa zake.
Kwa watengenezaji wa vyuma, vigae, matofali na vifaa
vingine vinavyotokana na udongo, udongo ni malighafi
muhimu sana kwa kazi yao. Kwa hiyo, huuthamini. Kwa
watengenezaji wa barabara, viwanja vya ndege, mifereji ya
kutolea maji machafu mijini n.k. udongo, hasa aina yake, ni
muhimu kwao. Kwa sababu hii, kabla mjenzi hajaanza kazi
hutafiti kwanza sifa za udongo atakaoshughulika nao kusudi
aamue namna atakavyofanya kazi yake.

Pay with DPO

dpo
Book Title SAYANSI YA UDONGO
Author Pius B.Ngeze
ISBN 978 9987 426 30 0
Edition Language Kiswahili
Date Published 1982-10-21
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 67
Chapters 6

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs5,000.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs4,000.00 Tzs5,000.00
View