Maisha Yangu: Alhaji Abubakari R. Galiatano

Maisha Yangu: Alhaji Abubakari R. Galiatano

4.0
  • AuthorAbubakar Rajabu Galiatano
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2008

Kitabu hiki kinaonyesha safari yake ndefu ya maisha yake.
Chimbuko na asili ya ukoo wa Galiatano, maisha yake,
mahangaiko na mafanikio yake. Kitabu hiki kinadhihirisha jinsi
mtu anavyoweza kupanda ngazi na kufikia kileleni, maadamu
anayo dhamira ya kweli. Mzee Galiatano hakubahatiwa kupata
elimu ya juu, lakini elimu ya Shule ya Msingi ilimwezesha kuwa
Rais wa Chama cha Ushirika cha Taifa cha Usafirishaji, kumiliki
malori na magari madogo, kujenga nyumba kadhaa za kuishi na
za biashara ikiwa ni pamoja na Nyumba za Kulala Wageni na
Hoteli ya New Banana. Kwa hakika mfano wake ni wa kuigwa na
kitabu hiki kitawatia moyo wanaukoo, wanafamiia yake na watu
wengi sana.
Kitabu hiki ni cha kwanza kati ya vitabu ambavyo kampuni
yetu inakusudia kuvichapisha chini ya mfululizo wa, “Watu
Mashuhuri wa Mkoa wa Kagera”.
Ni kitabu kizuri. Nashauri kisomwe na watu wengi, maana
yamo mambo mengi ya kujifunza.

Pay with DPO

dpo
Book Title Maisha Yangu: Alhaji Abubakari R. Galiatano
Author Abubakar Rajabu Galiatano
ISBN 978-9987-07-013-8
Edition Language Kiswahili
Date Published 2008-05-11
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 55
Chapters 4

Related Books

Maisha na Ujasiri wa Mjane
Maisha na Ujasiri wa Mjane
  • BIOGRAPHY AND AUTOBIOGRAPHY
Tzs2,000.00 Tzs3,000.00
View
Pius Bakengera Ngeze Maisha yake na Baada ya Miaka 70
Pius Bakengera Ngeze Maisha yake na Baada ya Miaka 70
  • BIOGRAPHY AND AUTOBIOGRAPHY
Tzs2,000.00 Tzs3,000.00
View