SHERIA YA MIRATHI TANZANIA

SHERIA YA MIRATHI TANZANIA

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2017

Katika kitabu hiki, mada mbalimbali zimefafanuliwa, hasa,
sheria za mirathi zinazowagusa wajane, watoto wa marehemu
na wategemezi wengine. Mwandishi ameeleza jinsi warithi wa
mali za marehemu wanavyoweza kuzirithi kulingana na mila
na desturi za jamii inayohusika na madhehebu yao.
Kitabu hiki kimeonyesha utaratibu wa kufungua mashauri ya
mirathi na mahali pa kuyafungua, uteuzi wa msimamizi wa
mirathi, maana ya wosia na jinsi ya kuandaa wosia, kugawa
mali ya marehemu kwa warithi halali, sheria mbalimbali
zinazohusu mirathi, haki za wajane na watoto, mjadala wa
serikali uliopo unaokaribisha maoni ya wadau kuhusu sheria
za mila nchini na mambo mengine muhimu yanayozungumzia
sheria za mirathi.

Pay with DPO

dpo
Book Title SHERIA YA MIRATHI TANZANIA
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 671 69 4
Edition Language Kiswahili
Date Published 2017-06-24
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 151
Chapters 8

Related Books

SHERIA YA ARDHI TANZANIA Umilikaji na Matumizi
SHERIA YA ARDHI TANZANIA Umilikaji na Matumizi
  • SHERIA ZA ARDHI (LAND LAWS)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View
Ufafanuzi wa Sheria ya Kumiliki Ardhi Vijijini Tanzania
Ufafanuzi wa Sheria ya Kumiliki Ardhi Vijijini Tanzania
  • SHERIA ZA ARDHI (LAND LAWS)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View