SHERIA YA ARDHI TANZANIA Umilikaji na Matumizi

SHERIA YA ARDHI TANZANIA Umilikaji na Matumizi

4.0
  • AuthorAl-Muswadiku K. Chamani
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2012

Lengo la kitabu hiki ni kuwaelimisha wananchi juu ya Haki na
Wajibu wao katika Sheria ya Ardhi ya Tanzania. (Sura ya 113, R.E
2002). Hata hivyo, kwa vile Sheria ya Ardhi ni pana, nimechagua
baadhi ya mada za sheria hiyo ambazo ninaona zinatumika zaidi.
Mada ambazo nimejadili zimeorodheshwa katika YALIYOMO.
Sheria za mila, ambazo ni chanzo kimojawapo cha sheria
nchini, huweza kutumika katika utawala wa ardhi, hivyo, katika
kitabu hiki, kama mfano, tumejaribu kurejea baadhi ya sheria za
mila za mkoa wa Kagera, ikiwa ni changamoto kwa wasomaji
wetu kuchunguza kama makabila yao yana sheria za mila zinazofanana
na hizo.
Kitabu hiki kimetumia mtindo wa Maswali na Majibu
katika kuwasilisha ujumbe wake.

Pay with DPO

dpo
Book Title SHERIA YA ARDHI TANZANIA Umilikaji na Matumizi
Author Al-Muswadiku K. Chamani
ISBN 978 9987 07 047 3
Edition Language Kiswahili
Date Published 2012-04-21
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 160
Chapters 85

Related Books

Ufafanuzi wa Sheria ya Kumiliki Ardhi Vijijini Tanzania
Ufafanuzi wa Sheria ya Kumiliki Ardhi Vijijini Tanzania
  • SHERIA ZA ARDHI (LAND LAWS)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View
SHERIA YA MIRATHI TANZANIA
SHERIA YA MIRATHI TANZANIA
  • SHERIA ZA ARDHI (LAND LAWS)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View