MWONGOZO WA KUSTAWISHA MIMEA YA MBOGAMBOGA

MWONGOZO WA KUSTAWISHA MIMEA YA MBOGAMBOGA

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021

Makundi ya Mazao ya kuzalisha fedha haraka
Mtu ambaye ana mtaji wake anayetaka kutajirika haraka kutokana na
kilimo, anashauriwa awekeze kwenye Kilimobiashara cha makundi ya
mazao yafuatayo:
• Mimea ya Matunda ya aina moja au zaidi kwa kutegemea soko lililopo
au linalotarajiwa kuwapo.
• Mimea ya Mbogamboga ya aina moja au zaidi kwa kutegemea
soko lililopo.
• Mimea ya Viungo ya aina moja au zaidi kwa kutegemea soko.
Ninasisitiza uwepo wa soko, kwa sababu bila kuwa na uhakika wa
mahali pa kuuza mazao yote utakayovuna itakuwa ni janga na ndoto
yake haitatimia. Mtaji wake utapotea.
Kwa kila kundi, zipo aina kadhaa za mazao. Mbali na hitaji la soko,
mahitaji mengine ni iwapo mtu huyo anaweza kutekeleza kanuni zote
za kufanikisha kilimobiashara.

Pay with DPO

dpo
Book Title MWONGOZO WA KUSTAWISHA MIMEA YA MBOGAMBOGA
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978-9976-584-16-5
Edition Language Kiswahili
Date Published 2021-07-23
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 96
Chapters 11

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs7,000.00 Tzs8,000.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs7,000.00 Tzs8,000.00
View