MAGONJWA YA FIGO

MAGONJWA YA FIGO

4.0
  • AuthorMariapia Niy’Imbona
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2026

Magonjwa ya figo yanaendelea kuwa tishio kubwa kwa afya ya jamii duniani, yakichangia ongezeko la vifo na gharama za matibabu kila mwaka.

Kitabu hiki kimeandaliwa kwa umakini mkubwa ili kutoa uelewa wa kina kuhusu afya ya figo na magonjwa yanayoathiri mfumo huu muhimu wa mwili.

Aidha, kitabu hiki kinaeleza kwa undani muundo na kazi za figo, mchakato wa maendeleo ya magonjwa ya figo pamoja na mbinu za kisasa za uchunguzi, tiba na kinga. Kinaangazia mchango wa magonjwa sugu kama kisukari na shinikizo la damu katika kuathiri figo na kutoa mwongozo mahsusi wa kudhibiti vihatarishi hivyo.

 

Pay with DPO

dpo
Book Title MAGONJWA YA FIGO
Author Mariapia Niy’Imbona
ISBN 978-9912-767-12-6
Edition Language Kiswahili
Date Published 2026-06-10
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 149
Chapters 34

Related Books

KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI
KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs6,000.00 Tzs9,999.00
View
TOKOMEZA MALARIA
TOKOMEZA MALARIA
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs6,000.00 Tzs9,999.00
View