TOKOMEZA MALARIA

TOKOMEZA MALARIA

4.0
  • AuthorPaschal M. Nchunda
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2008

Tokomeza Malaria ni kitabu kilichoandaliwa kwa madhumuni ya kutoa
elimu muhimu juu ya ugonjwa huu hatari unaoua maelfu ya wananchi kila
siku na jinsi ya kuutokomeza.
Aidha, kitabu kimejaribu kufafanua, kufundisha na kutoa ushauri au
wito kwa jamii na serikali yake juu ya hatua madhubuti za kuchukua ili
kuzuia na kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huu.
Ni matumaini yangu kuwa jamii nzima, yaani, wasomaji, asasi zisizo
za serikali, serikali, taasisi na kadhalika,watatumia kitabu hiki kwa lengo
la kuhamasisha jamii ili kuhakikisha mawazo na taaluma hii inaleta
mapinduzi makubwa katika kudhibiti na kuzuia maambukizi mapya ya
ugonjwa huo na hatimaye kuutokomeza kabisa nchini.
Lazima tuikatae malaria. Tukatae kuizoea. Isitushinde. Tuishinde na
kuitokomeza.

Pay with DPO

dpo
Book Title TOKOMEZA MALARIA
Author Paschal M. Nchunda
ISBN 978-9987-07-003-9
Edition Language Kiswahili
Date Published 2008-05-06
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 50
Chapters 4

Related Books

KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI
KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View
SIRI YA BINADAMU KUISHI MIAKA MINGI
SIRI YA BINADAMU KUISHI MIAKA MINGI
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View