KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI

KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2021

Hali ya sasa ya afya ya mtu, bila kujali umri wake, ni matokeo ya
mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na haya yafuatayo:
1. Maamuzi ya awali kabisa ya wazazi wake katika kuchagua
aina ya mchumba, umri wa wazazi, hasa mama, matunzo ya
mimba n.k. Kama waliamua vizuri ni bahati nzuri kwake
na kama waliamua vibaya ni bahati mbaya kwake.
2. Elimu ya kanuni za afya ya uzazi bora, matunzo ya mtoto
n.k. waliyonayo wazazi.
3. Hali ya kiuchumi ya wazazi.
4. Upendo wa kweli wa wazazi kwa mtoto wao.
5. Umakini wa wazazi katika matendo yao ya kila siku.
6. Kiwango cha ucha Mungu wao.

Pay with DPO

dpo
Book Title KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978 9976 584 17 2
Edition Language Kiswahili
Date Published 2021-06-15
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 32
Chapters 13

Related Books

TOKOMEZA MALARIA
TOKOMEZA MALARIA
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View
SIRI YA BINADAMU KUISHI MIAKA MINGI
SIRI YA BINADAMU KUISHI MIAKA MINGI
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View