SIRI YA BINADAMU KUISHI MIAKA MINGI

SIRI YA BINADAMU KUISHI MIAKA MINGI

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2020

Hali ya afya uliyonayo sasa, yaani, nzuri au mbaya, inatokana na
kutoshambuliwa/ kushambuliwa na magonjwa au kuwa na ulemavu
wa aina fulani. Na vifo vya mapema, ni matokeo ya mojawapo au zaidi
ya mambo yafuatayo:
• Iwapo mmojawapo wa wazazi wako au wote wawili walikuwa
“mbegu” nzuri au mbaya ambayo wewe umerithi.
• Umakini au makosa katika kuchagua umri wa mama (mwanamke)
kutunga mimba.
• Utunzaji mzuri au mbaya wa kichanga kilicho tumboni (ujauzito
au mimba) ikiwa ni pamoja na mjamzito kuwa na tabia na kufanya
vitendo hatarishi kwa afya ya kiumbe kilicho tumboni mwake,
kwa uzembe, kwa kukosa nidhamu ya maisha, kwa kutojali au kwa
kukosa maarifa.

Pay with DPO

dpo
Book Title SIRI YA BINADAMU KUISHI MIAKA MINGI
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978 9987 07 081 7
Edition Language Kiswahili
Date Published 2020-01-01
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 200
Chapters 72

Related Books

KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI
KANUNI ZA MWANZO 13 ZA KUMJENGEA MWANADAMU AFYA NZURI MAISHANI
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View
TOKOMEZA MALARIA
TOKOMEZA MALARIA
  • HEALTH & LONG LIFE (AFYA NA MAISHA MAREFU)
Tzs5,000.00 Tzs6,000.00
View