KAHAWA TANZANIA

KAHAWA TANZANIA

4.0
  • AuthorPius B. Ngeze
  • PublisherTanzania Educational Publishers Ltd
  • Year2015

Kitabu hiki, Kahawa Tanzania ni moja kati ya vitabu viwili
nilivyoviandika juu ya zao hili: Kitabu cha pili kinaitwa
Mwongozo wa Kilimo Bora cha Kahawa. Nakushauri
uwenavyo vyote viwili na uvisome.
Katika kitabu hiki neno mbuni lina maana ya mmea (wa
kahawa), buni ni matunda yanayotokana na maua, punje ni
mbegu zinazopatikana kwa kukoboa buni kavu au kumenya
buni mbichi zilizoiva, kuvundika, kuziosha, kuzikausha na
kuziondoa ngozi ya ndani. Neno kahawa lina maana pia ya
mmea mzima, zao lenyewe ikiwa ni pamoja na punje ambazo
ndizo huuzwa.

Pay with DPO

dpo
Book Title KAHAWA TANZANIA
Author Pius B. Ngeze
ISBN 978–9987–426–18-8
Edition Language
Date Published 2015-01-15
Publisher Tanzania Educational Publishers Ltd
Pages 162
Chapters 16

Related Books

Banana and their Management
Banana and their Management
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
COTTON IN TANZANIA: Breaking the Jinx
  • KILIMO CHA MAZAO (MORDEN CROPS HUSBANDRY)
Tzs5,000.00 Tzs5,500.00
View